Posted 1 month ago
127.87K followers
16.9K views
405 likes
16 comments
18 shares
๐๐, ๐ฆ๐๐๐จ ๐ญ๐ ๐๐๐ง๐๐ฅ๐ ๐ญ๐๐ก๐๐๐ก๐ญ๐ ๐๐๐ก๐ ๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ฃ๐๐ฅ๐๐ข๐? ๐ค Wanawake wengi hujiuliza hili, lakini ukweli ni kwamba kila mwanamke ana mzunguko wake. ๐๐๐ ๐ ๐จ๐ก๐๐ง๐๐๐จ๐ง๐ ๐จ๐๐๐จ๐ญ๐๐ง๐ข Usisubiri kujua siku za hatari tu ndipo ufanye tendo. Baada ya kumaliza period, unaweza kufanya tendo kwa kuruka siku moja au mbili ili kuongeza nafasi ya mbegu kukutana na yai linapotoka. ๐๐๐ ๐ ๐๐จ๐ง๐๐๐ ๐จ๐๐๐จ๐ญ๐๐ง๐ข Usitumie tu hesabu za siku bila kujua mzunguko wako. Kila mwanamke ana mzunguko wakeโmwingine anaweza kuwa na siku za rutuba mapema baada ya period, mwingine baadaye. Kwa hiyo, jua mzunguko wako una siku ngapi na tumia njia salama ya uzazi wa mpango kama hutaki ujauzito. Kawaida mzunguko ni siku 21-36. ๐จ๐ก๐๐ง๐๐๐จ๐ง๐ ๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ก๐ ๐๐จ๐ฃ๐๐ง๐? Comment โMIMBAโ nikuelekeze. ๐๐จ๐๐จ๐ ๐ ๐ญ๐จ๐ก๐๐จ๐๐ข ๐ช๐๐๐ข ๐จ๐ก๐ ๐ฆ๐๐๐จ ๐ก๐๐๐ฃ๐? Comment โMZUNGUKOโ nitakusaidia kuuhesabu. ๐๐ช๐ ๐๐๐๐ก๐๐๐ ๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐จ๐๐จ ๐ก๐ ๐๐๐ก๐๐๐ฆ๐ WhatsApp: 0695454869 #doktabruno #follower #highlightsใทใ #mimba #mzungukowahedhi