Posted 1 week ago
165.06K followers
2.62K views
47 likes
1 comments
3 shares
๐ ๐๐ก๐ ๐ ๐๐ฅ๐๐๐ง ๐๐จ ๐๐จ๐๐ ๐๐ ๐ ๐๐ก๐๐ โ ๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐ก๐๐ก๐๐ฌ๐ข๐๐ฃ๐๐ก๐๐ ๐ฆ๐๐ก๐ ๐๐จ๐๐ข๐ก๐๐๐๐๐ Hii ni biashara ninayoipenda sana kuieleza kwa sababu WATU WENGI WAMEIFUNGUA KUPITIA MAELEKEZO YETU na wametupa feedback nzuri. Sio kwamba haina changamoto. KILA BIASHARA INA CHANGAMOTO ZAKE. Ndio maana kwenye PDF zetu tunakugawanyia mtaji wako, tunakupa bidhaa za kuanzia pamoja na MAENEO YA KUPATA MZIGO AMBAYO TUMEYAFANYIA UCHUNGUZI. Kazi yako ni kwenda kwenye hayo maeneo na kufanya manunuzi. ๐ฒ UKIHITAJI PDF YA BIASHARA YAKO, TUMA WHATSAPP UANDIKE: โPDF MINI MARKETโ โPDF DUKA LA MANGIโ AU TAJA BIASHARA NYINGINE UNAYOHITAJI. ๐ +255 787 851 868 Na kama kuna biashara unatuuliza halafu tukasema โHII BADO HATUNA TAARIFA NAYO,โ usichukie. HATUTAKI KUKUPA TAARIFA ZA KUBAHATISHA. Tunataka kwanza tufanye uchunguzi, tuielewe biashara, ndipo tukuletee taarifa yenye msingi. GAST MEDIA TZ