Posted 1 week ago
2.86K followers
622 views
9 likes
0 comments
0 shares
𝐕𝐢𝐩𝐞𝐥𝐞 𝐯𝐢𝐧𝐚𝐯𝐲𝐨𝐟𝐚𝐧𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐥𝐞𝐧𝐠𝐞𝐥𝐞𝐧𝐠𝐞 𝐯𝐢𝐧𝐚𝐯𝐲𝐨𝐚𝐦𝐛𝐚𝐭𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐮𝐰𝐚𝐬𝐡𝐨 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐡𝐞𝐝𝐡𝐢 vinaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kiafya, ikiwa ni pamoja na; 𝐌𝐚𝐚𝐦𝐛𝐮𝐤𝐢𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐫𝐮𝐬𝐢 𝐇𝐞𝐫𝐩𝐞𝐬 𝐒𝐢𝐦𝐩𝐥𝐞𝐱 𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐳𝐚 𝐬𝐢𝐫𝐢 Maambukizi haya huambatana na dalili ya malengelenge (𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐮𝐧𝐠𝐮𝐚) kuwashwa, kuhisi maumivu au mwasho mkali, na wakati mwingine homa. 𝐌𝐚𝐚𝐦𝐛𝐮𝐤𝐢𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐟𝐚𝐧𝐠𝐚𝐬𝐢 Maambukizi ya fangasi ukeni yanaweza kusababisha muwasho, wekundu, na vipele vidogo. Hutokea mara nyingi baada ya hedhi kutokana na mabadiliko ya homoni na unyevunyevu ukeni. 𝐌𝐳𝐢𝐨 𝐚𝐮 𝐚𝐥𝐥𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐲a ngozi , Sababu inaweza kuwa matumizi ya 𝐩𝐞𝐝𝐢, 𝐬𝐚𝐛𝐮𝐧𝐢, au viosheo vyenye kemikali kali. Dalili zinaweza kuwa kutokewa na vipele vidogo vinavyowasha sana. 𝐌𝐚𝐚𝐦𝐛𝐮𝐤𝐢𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐛𝐚𝐤𝐭𝐞𝐫𝐢𝐚 𝐮𝐤𝐞𝐧𝐢 Kama ni vipele vyekundu vyenye usaha, huenda ni dalili za maambukizi ya ngozi kama folikulaitiz (maambukizi ya vinyweleo vya nywele). Husababishwa na bakteria kama 𝐒𝐭𝐚𝐩𝐡𝐲𝐥𝐨𝐜𝐨𝐜𝐜𝐮𝐬 𝐚𝐮𝐫𝐞𝐮𝐬. 𝐌𝐚𝐠𝐨𝐧𝐣𝐰𝐚 𝐲𝐚 𝐧𝐠𝐨𝐳𝐢 Magonjwa kama Izima(pumu ya ngozi) au soriasis yanaweza kusababisha vipele vyenye muwasho hasa baada ya hedhi. 𝐌𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐳𝐢𝐧𝐠𝐚𝐭𝐢𝐚? ☆Endapo unatokwa na vipele baada ya hedhi, ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo ili kutozidisha na kutatua tatizo; ☆Usijikune ili kuepuka kueneza au kuchochea zaidi hali hiyo. ☆Epuka sabuni au kemikali kali zinazoweza kuongeza muwasho. ☆Vaa nguo safi, zisizobana, na za pamba. ☆𝐔𝐬𝐢𝐩𝐮𝐮𝐳𝐞 𝐡𝐢𝐯𝐨 𝐯𝐢𝐩𝐞𝐥𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐯𝐢𝐧𝐚𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐬𝐡𝐢𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐩𝐨 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚𝐞 ,𝐯𝐢𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐚𝐦𝐛𝐚𝐚 𝐧𝐣𝐞 𝐧𝐚 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐮𝐤𝐞, 𝐤𝐮𝐬𝐚𝐛𝐚𝐛𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐚𝐧𝐬𝐚 , 𝐩𝐢𝐚 𝐮𝐠𝐮𝐦𝐮 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐣𝐚𝐮𝐳𝐢𝐭𝐨... 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐧𝐣𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝒅𝒓 𝒄𝒉𝒂𝒍𝒂𝒎𝒊𝒍𝒂 𝐧𝐦𝐞𝐤𝐮𝐚𝐧𝐝𝐚𝐥𝐢𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐢𝐛𝐚𝐛𝐮 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐚𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨 𝐡𝐢𝐢 𝐡𝐚𝐫𝐚𝐤𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨 𝐢𝐬𝐢𝐰𝐞 𝐢𝐧𝐚𝐣𝐢𝐫𝐮𝐝𝐢𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 ...... Nitumie ujumbe Whatsapp ☎️ 0613185206 Usinipigie kawaida ... COMMENT ASANTE DOCTOR KAMA UMENIELEWA #tiktok #icuzazizone #women #tiktoktanzania🇹🇿 #viral