Posted 3 months ago
148K followers
14.2K views
675 likes
24 comments
27 shares
MATUMIZI YA GLP-1 AGONISTS kama Ozempic na zingine yamekuwa makubwa. Hivyo Kuna haja ya watu kuelewa kuhusu uhalisia wa namna zinavyofavya kazi. Nimeandaa series ya video kadhaa kuelezea hizi products ili tuwe na elimu kuhusu Matumizi yake. . . . . . . . . . #ozempictanzania #glp1forweightloss #glp1tanzania #mounjaro #tanzaniandoctor