Posted 10 months ago
2.56K followers
18.73K views
252 likes
18 comments
15 shares
๐จ๐ก๐๐ฃ๐ข๐๐จ๐ช๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ก๐๐ (๐ช๐๐๐ ๐ญโ๐ญ๐ฎ) ๐ก๐ ๐จ๐ก๐๐๐๐ฆ๐ ๐ ๐๐จ๐ ๐๐ฉ๐จ ๐ฌ๐ ๐ง๐จ๐ ๐๐ข, ๐ญ๐๐ก๐๐๐ง๐๐ ๐๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐๐จ๐๐ง๐๐ฌ๐ข ๐๐ช๐ ๐จ๐ฆ๐๐๐๐ ๐ ๐ช๐๐๐ข ๐ก๐ ๐ช๐ ๐ ๐ง๐ข๐ง๐ข 1. Pumzika vya kutosha Epuka kazi nzito au shughuli zinazobana tumbo โ pumzika mara kwa mara hasa ukihisi maumivu.ย 2. Kunywa maji ya kutoshaย Upungufu wa maji mwilini unaweza kuongeza maumivu ya tumbo. Kunywa glasi 6โ8 za maji kila siku.ย 3. Kula chakula chepesi kwa mudaย Epuka vyakula vyenye mafuta mengi, pilipili, au vinavyolegeza tumbo. Kula mara kwa mara kwa kiasi kidogo.ย 4. Usijibane kwenda haja Choo kigumu au kujizuia kukojoa huongeza shinikizo tumboni โ hakikisha unakwenda haja mara unapojisikia.ย 5. Epuka stress na wasiwasi mwingiย Msongo wa mawazo unaweza kuchangia maumivu ya tumbo. Jitulize, omba, pumzika na jipe moyo.ย MUHIMU: Ikiwa maumivu ni makali, yanaambatana na damu au majimaji kutoka ukeni, kizunguzungu, au unahisi kichefuchefu sana โ nitafute mapema nikusaidie Afya ya mama ni uhai wa mtoto ๐ย Usipuuzie dalili โ linda mimba yako mapema.#TibaAsilia #dr_nkindwa_tz #mauritius๐ฒ๐บ #usa๐บ๐ธ #media