SULUHU YETU ยท @suluhu.yetu

Posted 1 year ago
6.95K followers
82.7K views
796 likes
25 comments
171 shares

๐Œ๐Š๐”๐“๐€๐๐Ž ๐Œ๐Š๐”๐” ๐Œ๐€๐€๐‹๐”๐Œ ๐–๐€ ๐‚๐‚๐Œ ๐“๐€๐ˆ๐…๐€ ๐–๐€๐‘๐ˆ๐ƒ๐‡๐ˆ๐€ ๐ƒ๐Š๐“. ๐๐‚๐‡๐ˆ๐Œ๐๐ˆ ๐Š๐”๐–๐€ ๐Œ๐†๐Ž๐Œ๐๐„๐€ ๐Œ๐–๐„๐๐™๐€ ๐–๐€ ๐‘๐€๐ˆ๐’ ๐ƒ๐Š๐“. ๐’๐€๐Œ๐ˆ๐€ Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameridhia kwa kauli moja kumpitisha Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza (Makamu wa Rais) kwa Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025. #MkutanoMkuuCCM2025 #CCMImara #VitendoVinaSauti #KaziIendelee