Posted 1 week ago
99.15K followers
230.2K views
25K likes
498 comments
116 shares
Mama wa hawa watoto yupo Zanzibar. Amesema anatamani sana kurudi kwa watoto wake, lakini changamoto kubwa ni kukosa nauli ya kurudi. Nimeamua kumtumia nauli ili aweze kurudi nyumbani. Nitafurahi sana endapo mama yao atarudi na kuanza kuwalea watoto wake tena. ❤️ Kwa kweli roho yangu inauma sana kumuona mtoto huyu wa kike akiishi na kaka zake bila uwepo wa wazazi. Ni mazingira ambayo yanaweza kuwa hatarishi kwake, na watoto hawa wanahitaji ulinzi, malezi na upendo wa mzazi. Mungu akijaalia mama yao arudi, naamini itakuwa hatua kubwa sana kwa maisha ya watoto hawa. 🙏🏽❤️