Posted 6 days ago
2.22M followers
131.2K views
15.7K likes
99 comments
65 shares
Edwin Sifuna: Tumetembea na ndugu yangu Babu Owino na Orengo Kenya mzima. Kule Pwani hakuna kura ya Kasongo, hakuna kura ya Kasongo Western, tumeenda Umasaini, Kisumu, hakuna kura ya Kasongo. Kuna wakora wachache wanadanganya Ruto ati hapa Sindo kuna kura ya Ruto. Nataka mtuambie leo, hapa Sindo kuna kura ya Ruto? Crowd: Hakuna!